Ushirikiano wa kijamii, ni michakato ambayo husaidia watu au vikundi vingi kuingiliana na kushiriki habari ili kufikia malengo ya wakati. Michakato kama hii hujipatia mazingira ya 'asili' kwenye Mtandao[1], ambapo ushirikiano na usambazaji wa habari kijamii hurahisishwa na ubunifu wa sasa na kuenea kwa tovuti.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search